Kijana mzinzi - sehemu ya 2

 




Chombezo : Kijana Mzinzi

Sehemu Ya Pili (2)



Ndipo alipo hisi furaha kiasi cha kutoamini kama MAGDA angeweza kutoa tabasamu la uhakika kwani katika kijiji

cha MBUTU alizoea kuona meno ya wake za watu.akiendelea kujishauri juu ya namna ya kumpatia mvinyo kijana huyo ndipo alipo

mwambia "Nina mvinyo japo kuwa ni kidogo tutagawana hivyohivyo".Ndipo kijana akafurahia sana na kuona kumbe mawazo aliyokuwa

akiyawaza sasa yametimia.Basi MAGDA akavuta chupa iliyokuwa nyuma kidogo ikiwa imefungwa kiunoni mwa FRASI na akachukua kata

ambalo kwa vijijini ni kwaajiri ya kuchotea maji mtoni ama kisimani na jina hilo ni kwa makabira mengi sana ya tanzania

pengine ata kiswahili utumika ni kwa wale tunaifahamu kwa ufasaha neno hili poleni mlio na kabira tofauti ila tupo

pamoja.Baada ya kuona binti anachangamka kumuwekea mvinyo kijana mzinzi na mlevi MATIGA alianza kutoa udenda kwani mtoto

kweli alikuwa kajaariwa uzuri na umbo, bira kupindisha macho yke yalidondoka moja kwa moja kifuani kwa bint matata

MAGDA,hapo mapigo ya moyo ya MATIGA yalizidi kwenda mwendo wa farasi, kweli huyu binti mwemwele.Katika kuhakikisha anamtia

kitanzini binti MAGDA ili aweze kuyajua yaliyo fichwa ndani ya Gauni zito na lililo fumwa kwa ustadi mwingi, Ndipo kijana

almaarufu GWIJI la wake za watu alipoa wekewa mvinyo huku akiwaza "Jamani huyu mtoto alikuwa wapi mpaka najiingiza katika

migogoro na wanaume wemzangu kwa kuwaibia wake zao kijijini kwetu? Au MUNGU kaamua kuniokoa kwa njia hii? Ila nimzuri

aisiiiiih!! Cheki tu kifua chake,Mdomo,kiuno na Hata Nyuma kajazia utazani wale wa kwenye VIDEO, yaani hapa nakula mpaka

maganda yake" aliwaza yake kijana mzinzi huku dudu yake ikipatwa na msisimko wa hajabu. balaha zaidi wakati anapokea kata ya

mvinyo, Walikutanisha macho kisha MATIGA 


.walikutanisha macho kisha MATIGA Akautamani upaja wa binti Mrembo mpaka udenda ukamponyoka, kama mjamzito

alieona embe bichi, ila ikambidi achukue ile pombe na kuimiminia kinywani mwake kwa kuwa alikuwa ameanza mda mlefu,alimaliza

pombe yote kiasi kwamba hakuna hata Tone kwenye kata, utafikiri aliweka Moto ndani ya mdomo maana kata lilikaushwa kabisa

pasipo kujiuliza yule binti ametoa wapi pombe .MAGDA alimuuliza"Inaonekana ulikuwa na unapenda sana pombe sana eeeeehn!!?"

MATIGA nae akajibu kwa pose "kiasi chake si unajua sikumoja moja moja?". MAGDA akatabasamu kidogo kisha"Ni kweli",kwa haraka

akili yake na wazo likamuijia MAGDA kuwa "Huenda kijana huyu anaweza kunikimbia maana tayari kisha uteka moyo wangu gafla

hivyo inanibidi nimzibiti ili atambue yakuwa ni nauwezo wa kiasi gani na Ajue kuwa mimi ni nani?".wakati anaendelea

kufikiria mara nae MATIGA alipo muuliza "Vipi mwenzangu mbona waomekana unamawazo kwani unahisi nini maana sikuelewi?" Akiwa

anatafakari jinsi kijana alivyo muuliza MAGDAalitabasamu kidogo,kama mtu anayezuga, akachukua kata mikononi mwa MATIGA

nakumimina mvinyo mwingine na kumkabidhi kijana huyu mlevi, ambae alioonekana kuanza kuzidiwa na pombe, bila kukawia MATIGA,

aliweka mdomoni kata ya pombe nakuanza kuigugumia, wakatihuo kitendo bila kuchelewa, bint mrembo MAGDA akiwa bado juu ya

FARASI wake alifunua gauni lake kwakulipandisha juu na kuanza kutoa...


Alifungua gauni lake na kutoa KUDU(KAMBA),na kuitundika moja kwa moja shingoni kwa MATIGA.Gwiji la wanawake alishangaa sana "kulikoni na hiki ni kitu gani sasa mbona sielewi?".Wakati akiendelea kushangaa mara Gafla wazo lika muijia la ujasiri na kutambua kuwa kiunoni mwake kumbe kulikuwa na Siraha.Kabla hajafanya jambo lolote baya, tayari MAGDA alikuwa kashausoma mchezo,hapo hapo aliivuta ile kamba na kumgaragaza chini misili ya bata kwenye maji.Ili atambue yeye ni mjanja zaidi.Lengo la MAGDA ni kumchanganya akili kijana wa Mzee PANYAKOO ili kumzuia asitumie Siraha yake ya Upanga kwani inaonekana ni mjuzi na mfundi wa kutumia siraha hiyo.

Wakati anazidi kurushwarushwa chini huku na kule, na kuhakikisha kijana Ametepeta kisi kwamba akimpeleka huku anakwenda ama kule anakwenda. MATIGA alitepeta mpaka akatoa machozi kiasi kwamba alishiishiwa mbinu kumtoka binti MAGDA, ikabidi awe mpole ili asiendelee kuburuzwa asije umizwa bila sababu za msingi,Ndipo MAGDA akamuamrisha ku ............ mbona mambo yanakuwa tofauti unazani kwanini bint huyu anafanya hivi au anataka kumbaka kijana mlevi



ITAENDELEA

About THE STORY BOOK

0 Comments:

Post a Comment