Kijana mzinzi - sehemu ya 3





 Chombezo : Kijana Mzinzi

Sehemu Ya Tatu (3)


Alitekeleza amri aliopewa kuhusiana na yeye,hakuchelewa na kuambiwa"Sogea hapa"

MATIGA akajongea huku akiwa anatokwa na machozi na mihemo ya hatari na kuwa

mpole,akajiuliza "Mbona majanga kama haya yananifanya hivi ama katumwa nini?, maana

sielewi kinacho kuja mbele yangu maana kabadirika gafla aliwaza MATIGA akiwa haamini

kinacho mtokea.MAGDA "nataka ufanye nitakacho kuamru,vinginevyo Utakufa sawa?".MATIGA

"Ndio mama,lakini unanoumiza shingo". MAGDA "Unaweza kuwa na mama mdogo na mrembo kama

mimi?,mbona unanizeesha eeeeeeh!!!?" alisema yule mdada alie badilika ghafla .MATIGA akiwa

anatetemeka akasema "Basi samahani MAGDA kwa kukuita mama ila naumia shingo".Wakiwa

wanaendelea kuombana msamaha ndipo MAGDA alipo mwambia kwasauti tamu ya kunong'ona masikioni mwake " kwanza niite mpenzi alafu

Tunakwenda kwangu na ukijifanya wajua nitakufanyia kitu mbaya ni heri ukawa

mpole uende kufaidi vitu vitamu".Ikambidi MATIGA anene neno "kama niivyo sawa si unge sema tu kuliko kuni tishga kwa mapanga? mpenzi

wangu MAGDA" "usiwaze mpenzi we twende" basi wakajiandaa kwa safari, kabla hawajaanza

safari kamba ikiwa shingoni kwa kijana mlevi ika.


Kabla ya kuanza safari walitabasamu kwa pamoja kuashiria wamekubaliana.Hapo ndo

walipoanza safari wakati MATIGA akiongoza njia na MAGDA anafuatia kwa nyuma.wakati

kwakiendelea na mwendo kwa mbali ilionekana nyumba ikiwasha taaa kwa ndani na ndio kijana

wa mzee PANYAKOO alipotoa mimacho kushangaa na kujisemea "Ni jinsi gani kijiji kama kile

kiwe na nyumba tena la ghorofa?",ila aliendeleza mwendo lakini MATIGA alimtania kodogo

MAGDA kuwa "Weee mtoto,kweli unamambo ya WABURUSHI kwanza huna hata chembe ya huruma mpaka

wanitanguliza kama Enzi zile za wakoloni au unaenda kuniuza?".MAGDA "Weee unanionaje?,Mimi

ni MBURUSHI au ni Mbongo? maana maneno yako hayana ukweli me nataji kuburudika na wewe tu

kipenzi changu",MATIGA kwa sauti yakilevi akachombeza "jinsi ulivyo nifanya Mungu ndie

anaejua,lakini we! mtoto ni mtamu kwa macho na je ukimenywa na kuonjwa? Si ndo Umauti

utanukia". MAGDA alicheka sana alipo sikia yale maneno ja kijana wa mzee PANYAKOO na

kusema"Unamambo mpaka basi...


MAGDA anaendelea kucheka jinsi, MATIGA alivyo zidi kuzichochea hisia za kijana mzinzi nakumfany kuona kana kwamba wanazidi kuchelewa kulifikia jengo la kifhari aliloanza kuliona kwamaliii machoni mwake,ili akaweze kufanya kile roho inapenda maana alikuwa na muda mrefu sana bila kumenya Ndizi ya kupewa na mpenzi wake maana walisha tibuana na kuamua kija kwa wazazi wake.Hapo hapo bila kuchelewa alimpatia funguo kijana. MATIGA alifungua na wote wakaingia ndani na kufunga mlango wa kuingilia.MAGDA akamkaribisha mgeni wake kwa sauti ya bashasha "karibu sana mpenzi, pole na safari ndefu ya mateso.chukua kinywaji hiki upunguze uchovu mpenzi wangu wangu"

MATIGA huku akipokea kichupa kidogo cha pombe kali ya kizungu ali shukuru "Ahsante,ila umeniumiza shingo,lakina hapana shaka mtoto mrembo mwenye mbwembwe nyingi za kumtoa nyoka pangoni".MAGDA kuambiwa hivyo aliangusha kicheko na na yeye akachukua mvinyo na kuanza kupiga mvinyo na kijana wetu mzinzi tulie tokanae mbali kwenda kutafuta tamu , wote wawili waka nywa mvinyo maana walikuwa wanaondoa uchovu wa safari.Mara kila mmoja pombe ikazidi kukimbilia ikulu, maali zambi iliko zaliwa, taratiiiibu walijikuta wameanza kuimba wimbo wa mwimbaji mashuhuri rangi ya chungwa.kidogo mambo yakazidi ambapo MAGDA akaanza mbwebwe za kushusha gauni lake mpaka.. 


Wakati wana wanaburudika na rangi ya chungwa, wote kwa pamoja kidogo, ndipo MAGDA akaanza vituko vyake za kushusha gauni lake mpaka usawa wa Magoti.Ndipo MATIGA kuona hivyo akachanganyikiwa vibaya sana asa baada ya kuona LIVE kifua cha mtoto wa mzee MALUBALO kilivyo jengeka kwa ufasaa utazani kapaka dawa ya nidndundezzzzzzzz, zilisimamam na kujaa vyema, hata ukiweka kitu kinakaa kama kwenye sofa, akatamani ange kuwa mtoto mchanga na huyu ni mama yake, nijinsi kufua kilivyo jaaliwa wala hakija lambwa na mtoto .MATIGA akajifanya kupotezea,kama vile hajaona kitu chochote kinacho endelea,lakini alishindwa kujizuia kwani alikuwa anajitahidi kukwepesha macho lakini wapi alirudi palepale na kushuka chini ya kifua na kukutana na kidoti cha kitovu ndo akachanganyikiwa zaidi.MATIGA akajisemea kimoyomoyo "Mashaalaah!!,mtoto mzuri jamani leo ni mwisho kula vya wake za watu" aliwaza hivyo.Huku mapigo ya moyo yakaanza kumwendea wa farasi na kumfanya azidi kuongeza kunywa kilaji cha mvinyo,wakati huo akajikuta akianza kusaula (kuvua) kikoti chake taratiiiiibu! Lengo ni kujianda zidi na vita inayo kuja dhidi yake.MAGDA nae alipoona kile kifua cha kijana wa mzee PANYAKOO alianza kuchanganyikiwa na kutamani waanze kuvunja ila Amri ya 6 na ndipo walipo haaaaaaaaaa


ITAENDELEA

About THE STORY BOOK

0 Comments:

Post a Comment