IMEANDIKWA NA : EDGAR MBOGO
*********************************************************************************
Chombezo : Kijana Mzinzi
Sehemu Ya Kwanza (1)
Katika kijiji cha MBUTU",kulikuwa na kijana mmoja mlevi na
aliyekuwa anapenda sana Anasa.Alijulikana kwa jina la MATIGA na alikuwa ni Gwiji wa
kuharibu ndoa za wake za watu na mabinti wadogo wa shule.Wala hakuwa na ahibu ata
chembe,kwani alikuwa ni jasiri wa hali ya juu sana.Na kupelekea kuwa Gumzo katika kijiji
kile, siku moja aliamua kufunga safari kwenda kutafuta Mabinti katika vijiji vya
jirani.Akiwa amesha kunywa pombe kupita kiasi na pombe nyingine mkononi, kijana aliendelea
kutembea njiani huku akiwa amejiweka ki uwindaji akiwa amejibebea Siraha yake ya kisu
kikubwa (jambia) kiunoni huku akiwa anapata kiraji na kuimba njia nzima kutokana na
kuzidiwa na kilaji wakati ana endelea na mambo yake Gafla alisikia
Alisikia sauti yakike ikimwita, "MATIGA". likini yeye alipuuza,
aliendelea kuimba kilevi huku akinywa pombe yake maana hisinge kuwa ahisi kuwepo mtu maene kama
yale yamsitu, tena akasikia kishindo kama kuna kitu kinamfuata sehemu alipo.Alipo geuka
nyuma yake alishangaa kumuona mmoja Mrembo na mtoto Mraini. kijana hyu aliduwaa maana
licha ya kuleporini lakini pia hasingeweza kumwona katika kijiji kile jinsi alivyo Mzuri
na mwenye mbwembwe za kuweza kumchanganya mwanamume yoyote lijali binti huyo akiwa juu ya
Farasi tena kwa ustadi mkubwa alizidi kumkaribia MATIGI*******.Kwa upande wa kijana
shupavu MATIGA akiwa anatafakari juu ya ujio wa Mrembo huyo huku tamaha nahuchu viki
mtawala, aliusemea Moyo "nikimpata Mrembo huyu ata juta kuzaliwa wakike, ni lazima nitumie
Maujuzi yale niyowahi kuyakuta Tanga kwa wataaramu wa Mapenzi Mpaka nisimamie
Kucha".wakati kijana akiendelea kuwaza yule binti aliongeza mwendo wa Farasi.
******************* hapo kwaupande wa yule binti story yake nikama,Kwa mbali alitokea
Binti Mrembo mgeni akiwa na FARASI katika pitapita zake za kuzungukia vijiji jirani kwa
lengo la kuvifahamu vijiji vya jirani kutokana na kuwa na muda mrefu wa masomo yake huko
Mjini.Mara akamuona Kijana mmoja Barabarani,Akiwa ni Mtu mwenye furaha njia nzima na
Akiimba kwa Ustadi mkubwa wa sauti iliyo tiwa hiriki na Mayai tena ya kienyeji.Ikambidi
aongeze mwendo ili aweze kuzungumza nae yule binti aliongeza mwendo wa Farasi kumsogelea
kijana
.Binti yule alipo
mkaribia kijana mlevi akapunguza mwendo ili azungumze nae.Lakini kumbe alijawa na mawazo juu ya kijana machachari
MATIGA,jinsi alivyo jengeka kwa umbo lake lenye mvuto wa Sintofaham mtoto akachanganyikiwa zaidi.Ikabidi asimame kidogo.nae
MATIGA akasimama kwa kuonesha mshangao,lakini binti nae akasimamisha usafiri wake(farasi) pembeni yake.Kisha akaanza kwa
salamu "Habari kaka,Vipi upo katika mzaingira kama haya na unakwenda wapi?".MATIGA nae akanena "kipindi nafundishwa jamdoni
ata shuleni mwalimu wangu aliniambia kitu cha kwanza unapo kutana na mtu wa jinsia yoyote ile, inakubidi umsalimie bila
kujari ni mdogo wala mkubwa na ndipo uendelee na maswali yako" aliongea MATIGI kwasauti yakilevi.Binti nae hakurudi nyuma
ndipo aliposema "Ahaaaa samahani,lakini si nilikuambia Habari kaka?, sawa Tuachane tuhachane nahayo,Naitwa MAGDA JOHN
nibinti wa pili na wa mwisho katika ukoo wa mzee MALUBALO pia ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha UDOM". alijitambulisha
binti MAGDA akimtazama kijana mlevi kwa macho ya bashasha
MATIGA akajichekesha kidogo kisha akaongea "Hapana shaka nashukuru kwa kuku fahamu ila unajina zuri utazani Aplle, amakweli
Mungu aliumba.kwa jina naitwa MATIGA NGOKO natokea katika familia ya mzee PANYAKOO na nimtoto wa Tisa katika familia hiyo,na
niko katika kijiji cha MBUTU, hapa nilipo niko nanyoosha miguu tu na sijui ninako elekea".Na wakati wanaendelea kufahamiana
vilivyo kijana MATIGA akainuapombe yake nakuiweka mdomoni lakini akashangaa kuona chupa ni tupu haikuwa na kitu, akaangaza
kiunoni mwake hakuona kitu kumbe alikuwa tayari imeshaisha kwani alitembea umbali mrefu akitumia kinywaji hicho
kijulikanacho kwa jina la CHANGAMSHA na ndicho kilicho mfanya aonekane ni mtu wa Furaha.Akiwaza apate wapi,alipiga jicho
lake kwa MAGDA na kuona kitu kama chombo cha kuwekea maji,kiasha MAGDA akamuuliza "kulikoni mbona umejawa na mawazo gafla?"
MATIGA hakiwa anakodolea macho chupa hile akasema "unajuwa nimetembea umbali mrefu nikiwa nakinywaji changu sasa kimeniishia
na bado naitaji kuendeleaa kunywa". MAGDA hakuonesha hari ya kushangaa kwani tayari alikuwa amesha vutiwa na muonekano wa
MATIGA kuanzia miguuni mpaka kichwani ndipo alipo.itaendelea hapa hapa...........
ITAENDELEA
0 Comments:
Post a Comment