Bora mchaga mwizi kuliko mpare bahili - sehemu ya 3

 




Chombezo : Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili
Sehemu Ya Tatu (3)


Wakiwa katika kikao kirefu Chao,  kama kawa Manka akalichokonoa kwa Omana lakini akalianzisha kwa Eliza na Doreen

Manka: Eliza shemeji hajambo?!

Eliza: mh hamna cha shemeji mbona me ni kama nipo single

Omana: mmmh totoz kama wewe unakuwaje single labda?!
https://pseudepigraphas.blogspot.com/
Eliza akacheka tu si unajua tena Eliza mpole, ila watu wapole bwana wanabeba siri kubwa

Manka: we Eliza wewe juzi kati nimekuja chuo kwenu udsm nakuona unaingia kwenye shangingi moja la hatari yule alikuwa babako au uncle yako anakuja kukuchukua saa 3 usiku?!

Elizabeth: akasmile hakujibu,  akina Omana na Doreen na Manka wakaanza kuangaliana leo Eliza vepee iyo mood vepee wakamuacha kumuacha demu mwenyewe anaonekana kama amepoteza network vile

Manka: Doreen hawajambo nyumbani kwako?! Vepe shemeji nae mzima?

Doreen: nyumbani hawajambo Nitaenda baadae kuwasalimia
Shemeji yenu hajambo ila yule wa last time nimeshapiga chini sasa hivi nipo na mwengine ila wapo 2

Omana & Manka: wawili kivipi?!

Doreen: ah nimechoka na watanzania wanasumbua, kwahiyo nimeamua kudate nje ya Tz

Manka na Omana: kama wapi?!

Eliza akacheka, akajibu kama Uarabuni na China

Ikabidi wote wacheke,  haaaaa we Doreen unabwana wa kichina?! Waarabu sawa tunawaelewa ngoja tukuweke kiporo ila wa kichina hili tunaanza nalo

Doreen: bwana weee mabwana wa kwangu mie nyie inawauma nini?!

Manka: sasa ndugu yetu huyu bwana wa kichina anajua kizungu au mnaongea kichina?!

Eliza: mmh hajui kidhungu wala kiswahili hapo ni ububu mwanzo mwisho

Omana: ah hii kali kwahiyo sasa ulimkubaliaje mpaka mkawa wapenzi?!

Manka: na mmeshapigana mechi au bado?!

Doreen: tayar kila kitu, tena ananipeeendaa

Manka: oh my Goooooood!  Ahahahahhaa! Akyanani ivi kwanza huyu mchina vepee anafanya nini nchini au ndio anauza vigae kariakoo?!

Doreen: ana biashara yake kawe pale kuna garage kabla haujavuka daraja la kwenda kawe wamefungua garage

Manka: mmmh hii kazi sasa mlikutana wapi embu tupe basi dvd nzima maana kukuuliza uliza kama mapolisi tushachoka

Doreen akaona aibu kujielezea ikabidi Eliza aingilie kati aongee

Eliza: nyie hamjui huyu ndugu yenu Doreen niwaambie mambo anayofanya ya aibu kabisaa

Doreen : Eliza maliza tu kuongea na mie nayaweka yako hewani malizia tu

Eliza: kha! Yangu yana afadhali kuliko ujinga unaoufanya

Basi niwaambie siku moja tupo mlimani city pale tunasubiria kuingia kwenye movies, mara akaja mchina nae anakata tiketi nadhani alichagua movie ya James bond nadhan ilikuwa skyfall kama skosei
Doreen na upare wake njaa njaa akaniambia huyu mchina handsome, very handsome amejazia ... angalia simu anayotumia ngoja niende kumsalimia
Nikamzuia lakini wapi hataki kuelewe akaenda akajigongesha kwa mchina wa watu akaanguka chini, ikabidi mchina amuokote na kumwomba samahani; wakaanza kuongea

Me Eliza nawaangalia tu najua mchina anajua kidhungu, kumbe bi Doreen hapa anamuongelesha kwa vitendo mchina anaitikia kwa kichwa kama mbwa

Wakaenda mpaka kwenye movie jaman, nikatoswa ikabidi nikakae seat ya mchina mchina akakaa siti yangu
Movie imeisha sijawaona akina Doreen nikaamua kuchukua bajaj mpaka chuo nikampiga hapatikani aliniweka roho juu maana sikujua yupo na hali gan
Naulizia kwa roommate zake wanasema hajaja,nikarudi chumbani nakuta sms yake nipo na mchina tuonane kesho simu imeisha chaji we rudi tu chuo
Wai nikazima zangu simu nikalala

Akaja kesho yake saa 6mchana kachokaa anaona hata aibu kwenda room kwake akaja room kwangu kuomba alale kwanza aoge ndo arudi kwake
Nikamuhifadhi bibie si unajua mie sina choyo mtoto wa kisukuma

Alipoamka na kujiandaa akaanza kunipa uhondo bwana wa mchina wake

Ananiambia jana usiku tukaenda kwa mchina mpaka kwake hapo mikocheni kufika show ikaanza uzuri nilibeba condom maana maongezi yetu ni ya sign language

Kufika show kwanza ilianzia kwenye gari, mchina wa watu kidogo agonge mpaka nafika chumbani kwake keshanikojoza na romance, ilikuwa ni noumer
https://pseudepigraphas.blogspot.com/
Sasa cha kushangaza kufika kitandani mchina wa watu ana kidudu kidogo, kama kibamia najaribu kukivaa kibamia kinapwaya hamna raha ananiumiza tu na kunipanda panda mwenyewe anaskia raha me naona karaha

Eliza nikajichekea pale kweli Doreen amepatikana sio kwa kudandia wanaume namna ile nikamwuliza ivi Doreen  Tabia yako ya kutafuta mabonge ya bwana utaacha lini?! Kwanini unakuwa na tamaa kiasi hiki kwenu mpoje lakini?!

Doreen akaniambia oh kwetu mimi sina wazazi, mimi ni yatima

Nimeelewa na mtu baki ambae alinitesa sana pale kijijini, nilipovunja ungo, akawa ananitaka kila zima, nikamtishia nakusemea kwa mkeo akaona namtania nilipoenda kumsemea kwa mkewe mkewe akacheka, akaniambia we mtoto si ushakuwa mkubwa sasa nakwambia utoke kwangu u katafute bwana wako naona unanizengea mume wangu eti anakutana, akutake wewe una nini?! Jinsia tatu au?!
Nikafukuzwa pale nikaenda kukaa kwa jirani? Kwa jirani wakaniifadhi wiki 1 yule mama alipojua akaleta fitina ikabidi niondolewe lakini jirani akaniuliza unataka kwenda wap sasa?!

Nikaumiza kichwa spati jibu mara naskia wimbo kwenye redio wa Mr Nice, Unaitwa Wawaaa
Unaimbwa hivi
kuku kapanda baiskeli?? bata Kavaa raizoni ?? daresalaam kiooo ikooo?? ikikoo ikooo kokokokokoo ikooo ikikoo shangiliaaa?? shangilia wewe, wawaaaa??

Nikamwambia yule baba anataka kwenda dar es salaam, sina hili wala lile sina 100 sijui naanza wapi maisha, hapa jina cheti changu cha form 4 na form 6 ndio nimemaliza nasubiria matokea

Yule jirani akaongea na mkewe wakanifungia laki 3, wakaniaelekeza dar es salaam jinsi ya kufika, nikifika ubungo napanda daladala za kwenda sinza nikifika sinza niulizie chumba za kupanga lazima nitapata
Basi nikaagwa pale na nene, nikatoka same kuja Dar, kufika nikafuatisha kweli maelekezo ya yule jirani, nikatua sinza, nikakaa pale sinza kijiweni mpaka nikampata mama mtu mzima mwenye hekima zake nikamwuliza natafuta vyumba vya kupanga akaniambia twende mwanangu me mwenyewe natafuta mpangaji, kama Mungu nikapata kichumba ki1 tu choo cha nje si unajua tena sinza palivyo wao wakawa wanakaa nyumba ya mbele  mimi na wapangaji wengine tunakaa za nyuma tupo kama wapangaji wa 5, nikalipa kodi ya miezi 6, enzi hizo kodi alinifanyia elfu 40

Maisha yanaenda sina kitu zaidi ya nguo, najifungia tu ndani nikitoka nakula chips vibandani narudi kulala

Siku baba mwenye nyumba akaambiwa me nakula vibandani akanichukua na mkewe wakaenda kuninunulia jiko la mchina na sufuria 3 na mwiko na mchele na mafuta na chumvi na mazagazaga yote hapo ni baada ya kuwaelezea nilipotoka wakanihurumia
Nikatafutiwa na kubarua cha u secretary kwa jamaa ya baba mwenye nyumba pale mwenge steshenari imagine graduate wa form 6 ... kweli usipokuwa na wazazi hata kama una degree hamna atakaekuangalia mara 2

Nikapiga mzigo pale mwenge steshenari, kwa muda wa miezi 3 naondoka asbh saa 12 narudi saa 2 usiku nalala sipiki nanunua msosi vibandani naingia kulala
Nikapiga kazi pale steshenari kwa muda wa miezi 6 nikaielewa dsm vizuri sana weekend j2 nazunguka mitaani makariakoo sijui wapi kote nazungushwa na majirani zangu mpaka nikauelewa mji wa dsm

Baada ya miezi 8 majibu ya form 6 yakatoka,  kwenye redio wakatangaza mwaka huu wamefanya vbaya sana kimatokeo nikajua na mie ndio kush nehi basi tena
Nikakaa mwezi mzima sijachungulia majibu, basi akaja baba m1 pale steshenari anataka kumwangalizia mwanae matokeo nikamfungulia akaangalia akafurahi mwanangu amefaulu jaman, me natamani kumwomba nashindwa
Akaja boss wangu pale anampa hongera akaniuliza we Doreen ushacheki majibu yako, angalia sasa hivi mtandao naona hausumbui nikaingia kucheki matokeo roho yaniuma najua nimeshafeli,  ile nafungua kudadeki nina div 1 ya mwisho nilifurahije sasa nikajua hapa sasa nitapata chuo kweli baada ya miezi 2 nikapata chuo udsm kozi ya BCOM, nikaomba na hostel nikapata baada ya miezi 2 nikaanza chuo nikahama pale sinza kwa machozi wale wapangaji hawataki niondoke wameshanipenda kama mwanae wakaamua kunihifadhia vitu vyangu vya jikoni ambavyo sikuweza kubeba hostel na mkopo asilimia 100 nikapata nikaanza maisha yangu udsm kwa upya
https://pseudepigraphas.blogspot.com/
Mwaka wa kwanza nilikaa mabibo hostel, kule ndio maisha tunatoka usiku tunaenda disco, mwenzio analala juu na bwana wake wewe umelala chini unaskilizia wenzio wanapigana mechi na hamna kusemeana kwa mtu
Akyanani maisha ya mabibo yalikuwa ni nyokoo

Nikapataga kibwana kimoja cha kichaga nilipoenda disco, huyo bwana anaitwa kimaro mfanya biashara basi kila weekend tupo billcanas mara maisha club mara sijui wapi shule nikaona chungu nikajua lazima na disco

Kimaro hakuwa mbahili alikuwa ananipa hela kila week na hivi alijua me ni yatima basi ana supply mchaga yule noma, ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza basi mapenzi kem kem kila weekend kwangu nilikuwa kama cinderela lazima nifatwe na Prado ijumaa kurudishwa j3 asbh darasani
Kila mtu alijua huyu bwana atanioa, mwaka wa kwanza ukaisha nikafaulu sana kuliko nilivyotegemea
Nikaenda mwaka wa 2, nikahama mabibo nikahamia udsm hostel ndani kule nipo tu na kimaro wangu
Watu wakajua kimaro kimaro ndio atanioa nyooo
Ile mwaka wa 2 nimeshapiga pepa zote nasubiria matokeo bado nakaa hostel za chuo maana sina pa kwenda nikamfanyia surprise kimaro nyumbani kwake kufika si namkuta anamkung'uta demu kitandani mwake, kha! Nilichoooka nguvu zimeniisha ghafla,
Nikawa nimeganda nawaangalia machozi yananitoka mpaka wanakuja kumaliza wanashangaa mtu ameanguka chini puuu

Kuja kuzinduka nipo hospital na kimaro pembeni, Che!

Kimaro: oh ulizimia baby nimekuleta hospital pole sana, as if skumbuki alichonifanyia nikajifanya fala alipe bili ya hospital na kunirudisha udsm

Kufika hostel nikamwambia bro me na wewe basi, eh Kimaro alilia kama mwenda wa zimu, hakutaka tuachane kabisaa nikamfukuza akaondoka ila ndio kila siku simu sms simu sms,

Wakati naugulia maumivu na machungu wakaja watu wa supplimentary shuleni kusoma, nikawa nimekaa kwenye ngazi nalia najiona maisha ndio basi tena akaja bibie Eliza hapa anaenda kusoma kafeli anawahi diskashen
Akanikuta nalia akaanza kunibembeleza jaman usilie pole sana akasahau na kwenda discussion akanipeleka chumbani kwake ikabidi nilale pale

Asbh akaamka akaondoa amefunga chumba kaweka no yake ya simu ... kurudi saa 5 bado nimelala akaniamsha kwa fujo nikaamka si unajua kwa watu, nikamwelezea  yalionikuta maskini anaskitika usijali wanaume ndio walivyo we hauwajui achana nae  blah blah blah me namwangalia tu kama mahindi ya kuchoma

Akanitengenezea chai, akanipa panadol nikanywa nikala nikarudi kulala yeye buzy na kusoma

Baada ya siku 3 namwuliza Eliza unasoma nini?!
Akaniambia amefeli, anasoma sijui somo gan ambao mie nimepata A
Nikampiga pindi anashangaa mambo marahisi wakati discussion anaiona chungu... hapo ndio nikapata rafiki wa kwanza wa kike anaitwa Eliza... alipomaliza mitihani ya supplimentary tukaenda kuomba tukae chumba kimoja kwa matron akakubali akahamishiwa chumbani kwangu tukawa marafiki ever since

Kabla ya shule kuanza tunazurura Eliza enzi hizi ana kibwana chake kinampeenda me namwangalia tu namhurumia nikijua lazima atapigwa tu sikumoja asiingize miguu na mikono yote kwa huyo bwana Eliza hasikiii bwana mwenyewe mpare na mie wapare nawajua vitombi hatari Eliza kakolea sijui yule bwana kamwekea dawa hata sielewihttps://pseudepigraphas.blogspot.com/

Kabla hatujafungua chuo bwana wa Eliza asinitake nisimrekodi video kwenye simu na kumtishia namwonyesha Eliza utumbo unaoniambia akaacha ujinga wake ila me nilijua Eliza kuna sehemu atatundikwa tu msalabani ila kwa sasa ngoja afaulu kwanza sapu na amalize shule maana atajiua Msukuma kama mhehe akipenda ??????

Mimi nikakaa single kwa muda mpaka tunafungua chuo nikaja kupata bwana pale pale chuo lecturer ila anafundisha corse nyingine, nikawa natoka nae kisiri siri Eliza hajui wala nini, shule ikaanza na mambo ya field na project bado nipo na lecturer Eliza hajui wala nini, hata tunaachana na lecturer Eliza hajui

Nikaja kupata mume wa mtu, kanikuta tu mlimani city ananitaka nikamsikiliza mume wa mtu ananipa hela mpaka nikawa namhurumia mkewe kuja kufanya uchunguzi naambiwa yule bwana ana mawe hatari, yani pale me nile navyotakaaa ila kuna tetesi yule bwana ni positive
Eh kusikia positive nikampiga hela nikakimbia na hivi sina makazi maalum alinipata wapi labda?!

Haya Eliza inatosha, nirudi kwako na wewe kupenda kuhadithia ya watu, je umewaeleza akina Omana ulivyotendwa na kaka zake?!

Miezi 3 iliopitaa, Eliza alikuja kwangu analia, oh bwana wangu wa kipare nimemfumania anatembea na yule demu chumba cha tatu pia anatembea na lecturer wetu yule kadada ah Eliza aliumiaje Manka?! Hapa kapona ndio maana mnamwona hivi ndio anapona pona ivoo, Eliza hakuwa kuwa muhuni Uhuni kaanza juzi mbonaa hehe ni sheedah, niseme nisiseme Eliza? !

Eliza huyu mnamwona hapa alishasema mapenzi basi, Msukuma kasusaaa...sasa hivi analipiza kisasi na kulenga tu hataki ujinga

Basi akaja kumpata huyo bwana sijui kamtoa wapi kudadeki, anamsaidia kutafuta wanaume... yupo kama dalali flani, anaitwa dalali nani we Eliza? ! ????????

Wenzake wanacheka hawana mbavu hio dalali vepee! ?

Eliza amenunaje sasa siri imetoka, prostitute la kisukuma Umeona wapi Eliza wewe- akajisemea Manka

Doreen: me simhukumu najua mapenzi yanauma sana hasa unapokuwa umependa mazima mazima kama bibie ila hili la kuuzwa na huyo dalali nani tena, ah nimekumbuka Dalali Steve...

Manka na Omana: Steve? ! Huyu Steve maarufu?!

Doreen: huyo huyo mnaemjua

Manka na Omana: my dia ondoka kwa huyo kaka b4 it's too late, utajipatia maukimwi huko sijui utawaambia nini wazazi wako

Eliza: mniacheeeee! Pain changed me
https://pseudepigraphas.blogspot.com/
Manka na omana: haya mama we endelea tu na dalali Steve tutakuja kukuletea chai hospital

Manka: sasa naelewa kwanini nilikukuta unaingia kwenye gari kali nilipokuja udsm usiku ule kumbe shoga ulikuwa unaenda kutoa huduma?! Unaenda kwa job?! Aya unalipwa bei gan sasa?!

Eliza: kwa usiku m1 dola 300 ( hapo dola 1 inasoma 2000)


ITAENDELEA

About THE STORY BOOK

0 Comments:

Post a Comment