ON MY HIGH HORSES PART 4




Chombezo : On My High Horses
Sehemu Ya Nne (4)



Mama bonge nae kamuwahi mzazi utadhani yeye ndo baba mtoto ai kiherehere ni sheedah jamaa



Wakafurahi hapo Mark akamkumbatia mkewe akapewa mtoto akambebaaa, anamshika my son nakupenda sana akampa jina la baba yake mzazi, Mark Junior the 2nd wakafurahia wooote wamepata mjukuu

Wa kiume another son is added to the family



Wakakaa na mtoto wao na mjukuu kwa lisaa limoja wakaondokaaaa wakamwacha mzazi apumzike



Bonge na ujasiri wote alijifungua kawaida



Swali:



Je Mtoto wa Bonge unadhani ni wa nani?!

1. Mark

2. Matusi

3. Mchina kibamia

4. Ambassador mchepuko wake









TUONANE TAR 19 MARCH 2018 SAA 7 MCHANA YA TANZANIA

---------------------------------------------------

Chapter 2

A. Nimpende Nani?!



Tausi

Unajua tangu niachane na mama bonge anibwage nilikuwa na confidence sana kuwa mumewe atanilea

Nikaendelea na mumewe muda si muda akanipiga chini

  Kusema kweli mpenz msomaji hata sijui yule mzee tuligombanaje nahisi ni shetani tu alipita akatugombanishaaa
Maana tulikuwa tunaenda vizuri tu siku akaniita nina surprise for you nikaenda hotel pale Kempinski, kufika ananiambia unajua nimeongea na wife tumerudiana anajua mahusiano yetu na amesema tuachane, na mimi naona ni swala zuri na la Heshima zaidi

Pia sijapendezwa na michezo mliokuwa mnacheza na mama Bonge, mnampokonya wapenzi kwa ajili ya manufaa yenu iyo ni roho mbaya sanaaaa staki hata kuamini kama unaweza mfanyia mwanamke mwenzio hivyo

Wewe ni kama muuaji kabisa tena hauna tofauti na shetani; ukakosa huruna kabisa mwanamke mwenzio anapokonywa mwanaume na unajua kila kitu na bado kwenye harusi ukamchukua na kumpeleka yani wewe ni zaidi ya jambazi akitoka shetani unakuja wewe

Tausi nikanyweaaa maana sio kwa maneno makavu yale, yani niliskia kuhukumiwa na Mungu Baba mwenyewe Mbinguni kumbe nipo Duniani

Kusema kweli mpenzi msomaji hata mimi sikupenda kile kitendo nilichompanyia Aaliyah ila pesa jamaa pesa ina nguvu


Unajua Pesa imempandisha Yesu Msalabani kabisaa na akafa?! Mimi ni kama Yuda na Mungu anajua nimekosea na nishatubu mara 100 kwa zotee lakini naona bado hukumu inanitafuna kila siku nasimangwa mimi nasemwa mimi natukanwa mimi kwa dhambi ya miaka 3 nilioifanya jamani kama kuna Mungu naomba mnisaidie kumwambia kuwa nahitaji toba anisamehe jamaaa nimekosa nimekosa mimi Tausi nimekosa duniani na Mbinguni tafadhali nisamehe Mungu basi


Baba Bonge:
Akaendelea kuongea weeee akanielekeza kutenda wema weee mimi nikajua yameisha baadae akaniambia kuanzia leo mimi na wewe baaaaassss


Nimerudiana na mke wangu sitaki tena michepuko na uzinzi



Tausi:
Nilichoka mpenzi msomaji nikamwambia sasa mzee unajua hali yangu sina kazi sina hela wewe ndio nakutegemea kwa kila kitu jamani nitaishije ukiondoka kwenye maisha yangu, basi sawa unaondoka nisaidie basi niwezeshe kimaisha au nitaftie kazi angalau ya kunifanya nijisukume kimaisha tafadhal nitakufa mimi sina ndugu, jamaa wala wazazi, tafadhali nisaidie  

http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Baba Bonge:
Akanyamaza kimya kwa muda wa dk3 akaniambia nipe CV yako, nikatoa, si unajua Jobless tenaaa, na sasa hivi lazima nibebe kiberiti changu kwa ajili ya sigara! Akaipokea ile CV, akaniambia subiri nikuangalizie mahali ukipata uniambie

Akatoa mil 5, hii mama kalipe kodi na kuhangaika kutafuta kazi, mpaka hapa nimenawa mikono na wewe tusijuane tena nikiondoka hapa haunidai sikudai, ukipata kazi ndio nimenawa mikono




Mazoeana mazoeana na wewe sitaki tena naomba unielewe kabisaa staki ujinga na wewe niache kabisaaa  nadhani tumeelewana


Tausi: ndio (kwa sauti ya unyonge)



Akalipia msosi akanipa lift mpaka kwangu akaondokaaa

Ndio ilikuwa siku ya mwanzo na mwisho kumwona yule mzee

Baada ya wiki 1 nikapata simu naitwa interview Bank nikaenda kufika nikahojiwa hojiwa na kazi ya u-secretary na nini unaweza pokea wageni na kuwaelekeza nikajibu interview ikaisha

Nikakaaa wiki 1 kimya
Nikaamua nikalipie kodi ya nyumba kweli ili nisije lala nje nikalipa kodi pale Mbezi ya miaka 2


Nikanunua misosi hela zingine mil 1 nikafungia Bank fixed account


Nikakaa na hela laki 4 hapo naomba Munguuu nipate kazi

Baada ya wiki 2 nikapigiwa simu nimepata kazi Bank Makao Makuu posta, kama receptionist


Nikampandia hewani Baba Bonge kumshukuru hakupokea nikamtumia sms akajibu sawa nakutakia kila la kheri

Nikaelekezwa kazi na nini nikawezaa Uzuri wa Bank bwana viwalo tunapewaaa ma tshirt nini kwahiyo zile nguo zangu za usekretary mbaya mbaya nikawa sivai buzy na suruali buzy na matshirt ya Bank

Mshahara ukapanda mpaka laki 4 nikapiga mzigo si unajua tena kama hamna kesho vileee kuja kuibuka probation imeisha; nikaajiriwa mshahara ikasogea mpaka laki 5 kwa mwezi nikawa natunza

Usafiri sina ni daladala kwenda mbeleee nadandia tuuu tena ilikuwa ni kile kipindi cha foleni kali ukisimama posta saa 11 mpaka unaondoka posta kufika Palmbeach saa 12 nanusu umesimama kufika Mbezi Beach saa 2 usiku hapo umechoookaaaa, basi nikazoea



Basi nikawa buzy na maisha yangu huku na kule sikuiyo kaingia Mark mume wa Bonge akanikuta reception akashangaa tukaongea sanaa akaniachia namba yake mpya na elfu 50



Nilipotoka jioni namkuta ananisubiri akanipa lift mpaka nyumbani, tulipofika haondoki ananiambia mimi nalala hapaa


Tausi: samahani wewe si umeoa? kwangu wataka nini?



Mark: we demu unajua mimi nimekuelewa sana basi tu wewe hautaki kunielewa


Tausi: nikawa mkali nikuelewe kivipi labda? embu niache mimi kwanza nina ukimwi

Mark: hata ukiwa na nini mim ni wako tu

Basi nikamwacha alale sebuleni nikajifungia chumbani mpaka asbh natoka nawahi daladala ananiambia nisubirie kidogo nioge tuondoke wote nitakushusha ofisini kwako

kweli nikapata tena lift ya kwenda kazini Posta Mojaa nimewaaahii! ile kunishusha namwona anaingiza mkono mfukoni; hii hapa utakula lunch alafu jioni naja kukuchukua usinikimbie




Hapo saa 12 nanusu nimewaaaahi nikamwambia naskia njaa ngoja nikale  kwanza nitakufikiria


Nikadondoka vibanda vya posta chukua machapati maaandazi matumbua huyoo nikaanguka ofsini nikatengeneza chai ya maziwa kwa raha zanguu



Jioni natoka Mark huyooo na Discovery 3 yake

Nikamwambia nina njaa nikapelekwa kula Double Tree Hill by Hilton

Njia nzima anaongea jinsi gani Bonge ameota mapembe tangu ashike ile mimba hajawahi mjua mke wake tenaa



Mimi nipo buzy namsikiliza huku natafuta mbinu ya kumchuna tu; maana kaniletea matatizo balaa



Tausi: Pole sana huku namalizia msosi

Ulipoisha nikaaga asee, nawahi daladala, nachoka na daladala ujue ningepataga gari ningekuwa nakuskiliza vizuri ila daladala kiuno baba chauma nikifika najitupa kama gunia nalala!



kuanzia Posta mpaka Mwenge ndio nakaaaa imagine



Mark akachokaaa akanipeleka nyumbani hajaomba mzigo kabisa kapoteaaa


Baada ya wiki 3 akaniita ilikuwa jumamosi, nikakataa weekend hii nafuaa usafi nipumzike
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Mark: nakuja mimi basi hapo. Akaja ananiambia twende nakupeleka sehemu

Nikaingia kwenye Mark 2 yake new model, tainted afu a/c kama mochwari kweli hela za akina Bonge zinachezewa balaa



Nikaingia napelekwa mateka sijui hata sielewi tukadondoka Yard ya Msasani ya magari



Mark: haya mama wewe chagua gari lolote unalotaka


Tausi; unajua Mark acha ujinga, mimi nimeacha kazi
Kibao ili uje unichote akili au?

Mark: we mama najua unateseka ndio maana mimi sipati huduma yako, sasa chagua gari tulipe kila kitu  nishachukua plate no ziko kwenye gari wanakufungua hapa hapa tunaondoka, kuendesha gari si unajua au ndio tunaanza moja?!



Tausi: ndio


Mark: haya chagua mama fasta urudi ukalale

Tausi: mwenzenu sikuamini, nikiangalia Rav 4, Mark x, Mark 2, sijui Vits, Passo, Ist, Prado ah nikatamani nibebe Prado nikajiambia unajua mshahara wenyewe laki 5 hapa nitaumbuka


Nikamwambia Mark unajua mshahara wangu laki 3 sasa gari mimi napata wapi hela ya mafuta? we Mark vepee?



Mark: mafuta nakuwekea mimi shida ipo wapi?!


Tausi: nikaguna mmh!
Asee mbona kazi ipo kweli Mungu yupo kanisikia basi nikaulizia bei Mark aniambia wewe acha ujinga chagua gari bei za nini tena we dalali au?!

Tausi mwana wa kwenu nikadondoka kwenye Prado ambalo hata Boss wangu bank hanaa, zile Prado New Model



Mark: hili hapana utafukuzwa kazi, boss atadhani umeiba hela bure chagua gari ambayo haitakuwa na maswali kazini



Tausi nikachagua Rav 4, 3 doors akakataa, haya magumu kuuzika


Nikamwambia wewe unauza wewe au kama ngumu kuuzika nitauza hata scraper hili ndio nataka lipo kidada zaidi niacheeee

Basi ndio nikanunulia Rav 4 New shape milango 3, sikuamini kama ndotoooo, nikaliendesha vibali kila kitu kalipia sijui Road license sijui Bima tena kakata ile comprehensive.. kadi ya gari jina langu



Nikawekewa mafuta full tank hapo Morocco petrol station nikaambiwa haya mama usije gonga safari njema ngoja nikafanye transaction bank

Nikimaliza nitakuja kukutoa Dinner, ila ujiandae kunipa asante baada ya hapo!



Tausi hata sikusikia anachosema nikarudi zangu nyumbani nashangaaa siaminiii uuuwi kweli bora nilivyoendaga Driving school naona maombi yangu yamejibiwaaa na Mungu kweli kanisamehe



Usiku Mark kweli akaja kichukuliwa buana tukaenda na gari yake mpaka Kunduchi Beach Hotel


Tukalaaa tukanywaaa kurudi iyo show yake mbona nilikomaaa! ila Mark alikuwa wamotoooooo nikajua huyu sio muhuni ni mwogaaa! nikaogelea kwenye mahaba yake kiroho safi na mpira! si unajua mimi mbishi, kwani tumepima?! na wala hakuwa na pingamizi



Basi mahusiano yakawa yanaendelea show zote zinafanyika kwangu

Asbh naamka saa 11 nanusu naamsha saa 12 saa 1 nanusu nipo ofsini right on time



Office mate hawakujua kama nina gari baada ya miezi 2 wakanionaaa maana nilikuwa nalificha balaaa, nikaanza kuwapa lift nikawaambia mjombaangu kaninunulia kwa mkopo kila mwezi namlipa kwa percent  kwa muda wa miaka 3 wakaamini



Mahusiano yangu na Mark yakaendelea kweli ananiwekea Mil 2 Bank kila mwezi ya Petrol tu


Akaja akaibuka Best friend wa Mark wakati mimi na Mark tupo level shwari kabisaaa mateja wanasemaga baridaaaa, au amaaaani wazungu wanasema mapenzi yapo on cloud 9

Nikasema kweli shetani hapendi nifurahi kumwuliza vepee ananiambia oh nakupenda nataka niwe na wewe dah nikachokaaa



Maana mimi na Mark tunakula kwa kuiba ila level sanaa ananielewa namwelewa sasa nikifkiria huyu Best friend namfichia wapi sielewi



Nikamkatalia akanifosi nikamwambia mimi natoka na kigogo mkubwa sana na sio babake Bonge kwaiyo siwezi


Best friend: akaniforce basi mimi nitakuwa side man wako sitakuingilia muda na Kigogo wako nikamwambia tuanze twishen kabla ya mtihani

Kwanza utanipa nini mimi ambacho Kigogo hanipi?



Best friend: kwani kigogo ana umri gan?


Tausi: ana 45

Best friend: keshachoka huyooo mimi nitakukimbiza mpaka utamsahau kigogo

Tausi: alafu nataka ujue kuwa mimi sikuhizi nina ukimwiii

Best friend: poa tutavaa mpira ikikatika basi 

Tausi nikachokaaa, nikamwambia lkn hauli mzigo bila matunzo




We lipia petrol ya gari na saloon



Best friend: ah una gari?!
Hongera sana
Sasa mimi nalipiaje gari wakati sijanunua? labda nifanye msosi na saloon na vocha na vacations

Tausi: poa side man wangu

Nikaanza kuwa na mahusiano na wanaume wa2, kila mtu anakuja kwa wakati wake
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Kila mtu ananitunza kwa wakati wakee 

Kila mtu ananitunza kwa wakati wakee nikaweza kuwamudu wote 2, hawajuani ndani ya mwaka 1 hawajuanii

Yaani ilikuwa Bonge la zali



Wanatoa hela wajinga wale sio kitoto kila mtu kama alivyoahidi mshahara wangu ukasimama Bank hauguswiii, nikaanza kupendeza Kazini wanashangaa ni laki 5 au Tips za vikao za nje ya ofisini au vikao vya seminar?! Hawaelewi



Miaka 2 ikapita napata simu kwa Baba Bonge akanitafuta
Baba Bonge: oh! mimi nimekumiss nakupenda

Tausi: nikachoka! nikiangalia mimi Ba-Bonge nampeleka wapi wakati nishazoea fimbo za vijana?!


Nikaenda kumsikiliza sera zile zile "Mke wangu kanitalaka" ni sheedah

Me namsikiliza tu kwani sh ngap?! Si unajua yeye ndio kaweka mkono pale kwa bank nikawekwa kazini



Baada ya hapo tukachukua chumbani tukafanya yetu japokuwa sikuona raha wala nini nishazoea mipini ya vijana nikaanza kufekisha mikelele ajue nimekolea amalize fasta asepee


Baada ya wiki ananiambia oh basi sitaki tena mahusiano na wewe, nikashkuru  moyoni lkn nikajifanya nimekasirika nikampiga kibaooo nikamtemea mate drama drama flan ivi amazingi nikaondoka ajue nimemind kumbe ninashukuruuu maana anichoshaa tu!

Kufika nyumbani namkuta Mark anataka mrejesho nikampa ule wa hasiraaa na furahaaaaa akashangaa leo mbona Tausi anajiongeza sanaaaaaa?!

Alipoondoka Best friend nae anataka kujaa nikamwambia weeee hapo hapo leo Kigogo kajaaa tena na bastolaaa tunagombana hapa kakuta sms zako wewe fanya tuonane mwezi ujao

Best Friend: akaamini Kusema kweli mpenz mtazamaji ukiniuliza maisha yangu yapoje ni mazuri sana ila sio level ya juu kama yalivyokuwa kwa Mama Bongee

Ukiniuliza kuhusu mpenzi, wote nawapendaa sanaaa ila nampenza zaidiiii Best Friend kwasababu nahisi nitakuwa na fyucha nae

Mark nazuga nae lakini kufanywa side chic nimechokaaa

Pia Best friend ananipendaaa, hata anavyonipa raha unaona kabisa inatoka moyoniii ila Mark anatoa raha ilimradi tu kama anakula tumbakishie baba




Moyo wangu umedondoka sana kwa Best friend hata sometimes Mark akiwa ananipiga Mechi namwona Best friend na mu imagine Best friend ndo ananipa doz ila skosei nikataja jina lake nipo makini



mpenz msomaji gari nalitaka sanaa

Mimi unaweza niiita malaya, changudoa, jesusi, jambazi lililoshindikana, gaidi, mafia lakini nina moyo jamaaaa na nahitaji kupendwaaa nimeishi maisha yooote but deep down najua wazazi wangu wananiangalia huko walipo na Mungu ananipenda sana la sivyo nisingepata kazi nisingepewa gari nisingekuwa nawelewa hela bank kila mwezi



Kiukweli Best friend kaniteka moyo wangu sanaaa sanaaaa




Na njia ya kumsahau mtu uliependana nae kama mimi kwa baba bonge ni kutafuta wanaume kama 2 mpaka 5 wote ujifanye unawapenda,

Mimi Baba Bonge aliniumiza maana nilijiweka mazima kwake lakini sasa namwona kama Biskuti tu simpendi kabisaaa


Namshukuru sana Mungu kuniondoa kwa Baba Bonge





TUONANE TAR 18 APRIL 2018 SAA 1 USIKU YA TZ
_________________________________________



B. WAREMBO






Mark:

Hawa warembo Penny inabidi uende nao taratibu tu, wahenga wanasema ukila na kipofu usimshike mkono na mimi sitaki kumshika mtu mkono wala nini, mimi nakula kimya kimya


Money Penny: mmh, ok pimp nipe ubuyu



Mark: kiukweli mimi hapa Dar nina mademu 4

1. Bonge Michellin
2. Tausi
3. Mama bonge (mama mkwe)
4. The new chick nimempata juzi katoka Malaysia

Hawa warembo nimepanga yani, Mark akainuka akafunua briefcase, unaona hii ndani kuna calendar, kila mtu nimempanga siku ya kuonana nae, na hakuna anaejuana na mwenzie huu mwaka sasa.

Tausi ninaweza sema ni side chic wangu naweza kula nae kavu lkn tangu ameniambia ana ukimwi tunadondoka na mpira tuu. Ila ka Tausi nomaa Penny, ah ile ngoma nomaa

Kuna siku alinikamatia mpaka baba mwenye nyumba wake akaja akidhani anakufa.
Ikabidi tuhamie Girraffe hotel kumalizia show.
Tausi mimi nitagawa hata Discovery 3 yangu kwake sio kwa ile raha.

Sikunyingine kanipiga cha Masaki, Weee Penny haya mambo tuachie wanaume, nyie wanawake Main Chic endeleeni kulia tu, maana staili zenu 3 tu (mbwa, gogo na kuendesha farasi)

Mkewangu Penny nampenda, amenipa mtoto wa kiume Mark
The 2nd
Lakin cjui anafanya kusudi au ndio alivyo maisha yake bonge hanijali kabsaa, mimi nakwambia penny yule mkewangu maramwisho kunipa unyumba ilikuwa honey moon zaidi ya hapo hamnaa!
Nikimwitaj oh nina umwa mara nina mimba, oh me nipo hormonal, kalenda kibao.
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Basi pa kudondokea ni kwa Tausi, akanielewa nilipompa gari ndio akajitoa ufahamu, utadhania nipo strip club kila siku napewa afu mastyle mapya.

Mke analala kama gogo, anavaa mapajama cotton kha! yani ni turn off

Tisa kumi penny, mamake bonge ndio simwelewi, kabisaa, ndio kanipa hela zake nimefanya anachotaka ila siku amekuja depressed oh ur the only man in my haaause nataka unisikilize, nikamskiza ma mkwe akarapuuuu weee yupo mkavu hajanywa, akanichosha pale na maneno mengi, baada ya hapo akaenda chumbani kwake akaniita

Ujue Penny mimi naishi kwa mama mkwe bado, kwenye bonge la mjengo maana alikataa tupange,

Kwahiyo sisi tuna upande wetu, yeye anao wa kwake
Alipokimbia chumbani akaanza
Kulia, nakufa najiua nikakimbia kumcheki, tobaa ma bonge katupia mavazi sexy, doh yale mavazi sijaona tangu nazaliwa, akawa amekaa chini analia kwenda kumwinua na nini akanibana mabusu motomoto doh akaniteka na hivi ni mnene basi nikaamua tuyamalize nimpe chake!

Kuamka hajanikuta. Akanicheki kesho nikamkimbia kwa mwezi mzima nalala kwa Hotel au kwa Tausi, akanitishia nakusemea kwa Bonge njoo unipe raha

Nikaenda kumsikiliza mama mkwe haelewi anataka tena, na maswali kibao ya utatoa utoi, ikabidi nitoee!

kuja kumaliza ananiambia Mark mimi najua upo na mwanangu, lkn uwe unani busti kidogo kidogo nikamwitikia tu aya aya tukaachana.

Nikajiuliza stress napeleka wapi, nikaenda ongea na Babangu Mzazi, akaniambia acha laana mwanangu, ngoja nitaongea na mamako tukaongee na mama mkwe wako

Wazee wakajipanga wakamwita mabonge nyumbani kwa wazee, akaenda kumbe Baba Mkwe walimficha ndani, wakaongea nae alichofanya si vyema
Aache na nimi
Mama Bonge: akakiri kunirubuni kwa nguvu, akaomba msamaha, baadae akasema ila sitaachana nae, raha alionipa najiona kama mtoto mdogoo, kwaiyo izo integrity zenu endelezeni mtajiju, akainuka anataka kutoka,

Baba Bonge akatokeza, akamchamba mkewe wee we kweli Shetani unatia aibu mimi nakubali tutaachana mahakamani sio kwa dharau hizi,

mama bonge akamtemea mate mumewe usoni akasepa.

Wazee wangu wakawa wanamshangaa mama bonge, basi baba mkwe akaomba msamaha wakaongea akaondoka.

 Baada ya wiki talaka ikakamilika Baba Bonge akahama nyumbani akawa anakaa hotelini baadae akapata nyumba Masaki
Tangu sikuiyo mama mkwe hajawahi nitamani, kunifosi ujinga ujinga cjui nini, heshima ikawa inatawala ila hakuniomba msamaha wala nini
Ishu ya mama bonge ikaisha!

Yule mke wa mtu unajua hatukuendelea kiviile, maana mume alitufumania nikapigana nae pale, yakaisha. Yule mke wa mtu akaja kuniambia kuwa
Wanaondoka na mumewe wanahama Nchi
Ndio ikawa mwisho wangu na mke wa mtu Penny

Nikawa nipo na Tausi na Bonge, siku nikaenda kutembea zangu Serena Hotel nakutana na kimwana, mtoto potay kama Hudda wa Kenya, kagawanyikaje sasa, nikamfukuzia akanitolea nje nikakomaa nae miezi 2 anapiga chini, wa 3 akaniambia eh! we mwana hauchoki tu, alinifanyia vituko balaa Penny ila usungura kwa sana,

nikaja kumkamata kumweka mezani kumbe demu Bikra nikachoka!

Mtoto swafii mtamuje sasa?! alafu apo nimemdanganya mimi sijaoa.

Dah, kuitoa bikra ilikuwa mbinde, siku 3 bado sijamtoa, akilia naogopaa nahisi namuua, unajua Aaliya ndio nilimtoa Bikra lkn zaman sa ivi najiona mzee, kuchinja kuku ni ngumu, unahisi kuku mzee anakuachia laana!


Tukakaa mwezi mzima nimepangisha nyumba Upanga NHC, akajua kweli mimi bachela na mpaka sasa hapa ana ujauzito wangu watoto mapachaaa, miezi 7 hamna anaejua zaidi yako Penny.

Mke, mama mkwe, Tausi
Hawajui wala nini,
Ndo ivyo tena Penny

Money Penny: sasa kamanda unampango ganI na wake 2?
Na kati yao wa 3 yupi wampenda zaidi?

Mark: nimeshamkamata bonge ana cheat na jitu moja kama jambazi anaitwa Matusi, basi nikamwambia nimekusamehe ila najua wanaendelea bado na najua tu matusi ndio mwenye mtoto pale mimi simo
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Nasubiri mtoto wa Bonge amalize miezi 3 nampeleka mwenyewe for DNA test, nikijua sio natoa talaka siwezi tena ile familia
Kusema kweli mimi nampenda sana huyu dogo anaetegemea kupata mapacha.

Dogo mwaminifu tena kanichanganya kumkuta anayoo

Tausi kiukweli sina mapenzi nae kabisa, ila mechi zake ni noumer sana ila simpendi, nipo tayari kutulia na dogo wa Malaysia na kumfundisha maujuzi yote niliopewa na Tausi ila familia ya akina bonge stakI tena baaas



Aaliyah:

To be honest kwa drama nilizofanyiwa na Mark sijawahi kufikiria wala kuja kujua kama nitapata love,


Nimevurugwa kiasi cha kuamini kuwa love haipo kabisaaa, mtoto wa Yesu mpaka kunywa pombe, natukana ovyo kazini hawanielewi navaa uchi yani niacheni tu kweli Mungu yupo na hamtupi mja wakeee

Huyu Baba Bonge was a heaven sent, sijaelewa kwanini mama bonge amepiga chini huyu baba lakini he has been the nicest man i know

Ukiacha Yesu na Babangu Mzazi! Sielewi shida kwa mama Bonge ilikuwa nini,

Pia namshukuru sana Mungu kauvuruga uhusiano wangu na Mark maana nisingekutana na Gigi na Gigi asingenikutanisha na Baba Bonge, ndio namsifu Mungu lkn namsifu Gigi pia ila Gigi na huyo Best Friend wake wamenikosea sanaa sanaaa sanaaa nimenuna nimekasirika but i nadhani ndivyo maisha yalivyo!

Ndio Best Friend ananipenda but come on, i mean come oooooon, kuvurugwa nako kunasaidia lakini najua kuwa Best friend amemla Gigi... mmh ngoja nikueleze basi kama unadhani natania:

Siku moja Baba Bonge alisafiri akaenda Moshi maramoja, aliitwa kwenye ile nyumba yake na mamake kabla hajawa tajiri kuna drama zilitokea

Akaaga haraka akaondoka na ndege, Kia mojaaa
Mimi nikawa nimeboreka boreka nikasema basi nikamcheki Gigi nyumbani kwake, kufika nakuta gari ya Best friend imepakia pale nje nikafurahi kuwa nimewakuta wote

Kuingia ndani sioni watu nikajua labda wapo kibarazani wanaongea, nikaenda hamna mtu, mmh nikaenda kote hamna mpaka bafu na choo hamna

Hapo sasa roho ikanipiga paaaaaa, akili inaniambia ingia chumbani, kwenda chumbani mlango upo wazi, kuingia tobaaaaa namkuta Best friend yupo juu ya Gigi, ah nilihisi kusalitiwa mara ya 2, kweli sio huyu Best Friend alieniambia anafanya haya kwa ajili yangu sasa mbona hivi?!
Wananizunguka au?! Nikachoka nikashkilia roho na moyo, nikataka kutapika tena nikashkilia mdomo nikanyata mpaka nje ya geti ndukiiii, nje nikatapika pale bwaaaaah!

Nikatembea mpaka nikakutana na Taxi nikarudi Masaki

Nikalia weeee basi nikasema kama ndo ishakuwa hivi poa mIMI sio mjinga tena kuumizwa mara ya pili maanake wewe mjinga, nikajifungia ndani mpaka Baba Bonge aliporudi nikamdandia mazimaaaa, mzee wa miaka 55 na mimi 32 yani anakomaje
Sikuhiyo hata hakutumia viagra nadhani na yeye alinimiss akawa anashangaa ujio ule wa kukumbatiwa na mimi vepee?!

Nikamalizia hasira zangu zote sikuhio na asbh nikadai kodi akaondoka mimi kimya roho inanitoka wa kuongea nae sina natamani nimwambie mama nashindwaaa naanzaaajeee kumwambia kuwa tunafanya umafia kumsaidia Gigi na Mimi... like how?!

Nikalia nacho mchana mzima nalia natukana akina Gigi wakanicheki nikafekisha kama nipo na furaha kumbe nina umiaaaa

Usiku akaja baba bonge na bonge la surprise kuwa kesha talakiana na mama bonge sasa hivi yeye yupo free
Moyo ukapumua nikaanza kulia

Baba Bonge: jaman usilie mpenz wangu mimi ni wako asilimia zote

Mimi nalia tu hajui nalia na nini, nikaondoka machoni pake nikaenda kulala akanifuata mama nini tena au haujapenda mimi kuachana na mama bonge jamaan?!

Me kimyaaaa

Baba Bonge: usijali bwana haya yameshaisha na tena mali zimegawanyishwa nusu kwa nusu so am not poor at all

Mimi kimyaaa

Baba Bonge: baby au kuna kingine maana asbh nimeondoka vzuri tu mbona nakukuta unalia au mama amepatwa na matatizo

Aaliyah: hapana mama yupo vizuri,
Samahani nimekuwa mtu mbaya kwako, pole na talaka

Baba Bonge: pole ya nini?!
hapana wewe sio mzigo basi mabusu kibao shingoni

Aaliyah: nikajinyofoa, my love, unaonaje kama tukichukua vacation, ofsini kurudi badooo, itachukua muda nimechoka kukaa kaa tu ndani au hata sijui nifanyaje labda nirudi kwa mama au?!

Baba Bonge: hapana mpenz, tutaenda vacation hata mimi nahitaji vacation
Unataka kwenda wapi
Mke wangu?!

Aaliyah: can we afford Paris au UK au Casablanka Morrocco?!

Baba Bonge: hamna neno tutaenda kote ulipopataja

Wakazama kwenye mahaba,

Baada ya wiki 2 wakapata Visa za kwenda UK na Europe na Morocco

Aaliyah akamuaga Mamake ambae alikwa ameshamkatiwa Visa zote yeye na babake na wajomba zake 2 na tiket za ndege na Baba Bongee

Wakadondoka Cassablanka mojaaa, akina Gigi na Best Friend hawana taarifaaa, wakakaa weee wanakula tu maraha na utaliii, baada ya siku 5 wakadondoka UK kwa Malkia Elizabeth,

Baada ya siku 10 wakaanguka Paris,
wakakaa siku 3 ya 4 wazee wa Aaliyah wakaja, na wajomba na baba mdogo jumla 12 wakafichwa kwenye hotel bila Aaliyah kujua

Katika mahaba ya hapa na pale, Baba bOnge akapropose

Baba Bonge: Mpenz wangu mimi nakupenda na kila siku upendo unazidi kwako, haupungui hauishi hauchachi, unaonaje tukifunga ndoa kwenye mji wa mapenzi?!

Aaliyah: hakuamini akawa anatoa macho tu anadhani utani, akawa anashindwa kuongea

Baba Bonge: chini ya hii hotel kuna Kanisa nzuri sana na mchungaji unaonaje kama tukienda kufunga ndoa hapo?!

Aaliyah: akaona kama ni usiku wa giza, dah haelewi atafanyaje?!

Ndio mpenz msomaji nataka kuolewa lakini wazazi wangu hawapo na nimetamani sana wawepo jamaa sasa nafanyaje?
Akamwangalia Baba bonge ambae alijaa mahaba mia mia, akamkubalia sawa na kutabasamu

Basi baba bonge akafanya yake pale waka shop kwa ajili ya gauni la Harusi, Aaliyah anafuraha lakini nusu maana angependa sana wazee wake wawepooo

Siku ya siku ikawadia, anarembwa chumbani bwana harusi
Yupo chumba cha pili kakodi kwa siku tu,
http://pseudepigraphas.blogspot.com/
Baba bonge akaenda kuwaita wazazi wa Aaliyah akawambia waingie chumba alichokuwa anapambwa Aaliyah

Wakagonga ngo ngo ngo, wakafunguliwa Aaliyah kajaa kwenye kioo akageuka kuwaona ni mama na babake alipigage makelele sasa
Aaaàaaaaaaaaa waaaaa akaenda kuwakumbatia, analia maskini makeup inatoka toka sheedah!

Baada ya dk 10 za kusalimiana na kurukiana na kucheka, akawauliza nani kawaleta.. wakajibu mumeo mtarajiwa wakati anafanya mipango yako na zetu zikafanyika

Basi furaha mia miaa

Wakadondoka Kanisani, baada ya nusu saa, Baba Aaliyah akamsindikiza Aaliyah mpaka mbele kumkabidhi kwa mzee mwenzake (hihihi mzee mwenzake sounds funny ila atafanyaje sa)

Ndoa ikafungwa pale mabusu kibao....ndoa imefungwa na wageni 12 officially Mr and Mrs Baba Bonge

Wakadondoka honey moon wakapigana mechi mpya ktk Bwana, mechi Takatifu, Aaliyah amefurahi kuliko maelezo, kwanza hakuamini maana sio kwa kupotezewa muda ule na Mark, Hatimae kaolewa akiwa na miaka 32..

Wakakaa Honey Moon mwezi mzima, wazazi walishaondoka wiki 1 baada ya harusi

Baada ya mwezi Aaliyah anatapikaaa, Baba Bonge anafuraaaahaaa wakaongeza mwezi wa pili, kwenda kupima ana mimba ya miezi 3 Baba Bonge kachanganyikiwaaa kwa furahaaa, kazidisha mahaba kwa mke wake Aaliyah!

Aaliyah katika kuwaza waza zake akaamua kufunga kwa maombi anamshukuru Mungu sana kwa kumpatia ndoa akamwambia Mungu amsamehe kwa yote waliopanga na akina Gigi mpaka hapa pamefikia, akatubu, si unajua mjasiri haachi asili yake?!

Akamwahidi Mungu kwa zawadi ya Mume na mtoto/watoto tumboni mwake basi ataacha kazi za akina Gigi punde atakaporudi Dar, na moyo alioufunga kwa wanaume wote chini ya jua ataufungua kwa mumewe Baba Bongee...

Wakarudi Tz, newly weds, wakakaaaa ndio Gigi kumtafuta aAaliyah, we mwana mbona haupatikani na matusi kibao, Aaliyah akamwita kwake akamweleza alikuwa vacation ndio wamerudi walifunga ndoa na sasa ana mimba ya miezi 3

Gigi: mamaaaaa jamaaaan we mtoto mbaaaaya tumekufanya
Nini sisi mpaka usiende kutuambia tuje jaman mbona umetuchukia namna hio?!

Aaliyah: akajibalaguza pale na tumbo lake buana mambo yalienda fasta fasta nisamehe huku anashika mgongo na tumbo

Gigi: eh we mtoto naona kama umeenda resi hili swala yani umetuvuruga sana sasa dah, Je Best friend akiskia itakuwaje?! Si unamwumiza mwenzio?!

Aaliyah: best friend?!
Ivi nyieee mnanifanya me chizi au?!
Tena namshukuru Mungu amenipa baba bonge, maana nyie sijui mkoje na michezo yenu ya jongooo
Nimekuja kwako Gigi siku flani akaitaja nakukuta mnapigana mechi na Best friend kweli Gigi wewe wa kunifanyia hivi mimi?!

Gigi: kimyaaaa kwanza kashangaaaa, akakataa sio kweli sio kweli

Aaliyah akampa evidence kabisaaa Gigi aibu anaona aibujeeee!

Aaliyah: ndio ivyo sasa kamweleze bwanako Best friend kuwa nimeshaozwa nategemea mtoto kama sio watoto, haya nawatakia maisha mema mimi sijui tena kama nina msaada kwako Gigi au kwa Best Friens msaada wangu umeishia hapa ni mke wa mtu sasa

Gigi: akawa analia anaomba msamaha, Aaliyah jaman nisamehe yani nimepitiwaaaaa

Aaliyah: nimeshakusamehe, kaa vizuri na best friend yupo single huenda mkaoana sasa.. mlango ule pale ukiwa tayari wewe nenda mimi nalala sasa naumwaaa nimejikaza sana dokta kanipa bed rest ya miezi 4

Gigi: akajiliza hapo sijui kweli au uongo au aibu, haya, akainua bambataa yake huyooo ndukiiii kwake

Kufika akampandia hewani Best friends njoo kuna dharuraaaa

Best friend katia timu kwa Gigi, Gigi kamweleza kila kitu, Best friend mkojo ukamtokaaa,

Gigi: nini sasa
Na wewe unajikojolea ovyo kama mgonjwa, embu tulia bwanaaa, ah

Best friend kapaniki machozi yanamtoka, Gigi akainuka kwenda kuchukua mopa na mpini wake kuja anamkuta Best friend kazimiaaaaa, akachokaaa
Akamwinuaaaa kumzoa zoa yeye na mliNzi wake wakamweka kwenye gari mpaka hospital

Akafanyiwa vipimooo, dokta akaja kutoa majibu

Dokta: nani muhusika?!

Gigi: mimi hapa ndo dadake huku anatetemekaa

Dokta: huyu bwana ame recover vizuri ila kuna tatizo moja tu limempataa

Gigi: nini tenaa?!

Dokta: amepata stroke nadhan ni mshtuko ameshtuka sana mpaka amepata stroke

Gigi: akaweka mikono kichwani akawa analiaje sasa?!
Kama mwehuuu jamaaan Best friend ka paralise?!
uuuuwi mimi nitaenda wapi mtoto wa watu maskini




TUONANE TAR 20 APRIL 2018 SAA 1 USIKU YA TZ

________________________________

C. I SEE YOU WHEN YOU GET THERE!





GIgi akampandia hewani Aaliyah mama Swallow your pride Best Friend Ameparalyse baada ya kukuambia yaliyokupata

ITAENDELEA...

About THE STORY BOOK

0 Comments:

Post a Comment