TARATIBU JAMANI
TARATIIBU JAMANII
Simulizi na Riwaya Club
SEHEMU YA SITA
TUENDELEEE TULIPOISHIAA
Nifanye kwa nguvu mpenziiiiiii,,,aaaaaaaah,,,aaiiisssssss,,,uuuuuh,,,alilalamika Eliet huku Nelson akiendelea kumsugua kitumbua kwa kukikazania kile kidude mautamu,baada ya dakika kadhaa mtoto wa watu alijikunja na kumkumbatia Nelson huku akitangaza kufika mwisho wa safari yake,,,Naye Nelson hakukubali kuachwa nyuma alijivuta na kuzidi kupampu kwa kasi kisha akamwaga uji wake ambapo hazikupita sekunde tano naye Eliet alimwaga,,,
Eliet alijilaza kama mtu aliyezimia na kupitiwa na usingizi,,,Nelson bado alikuwa fiti japo kwa namna moja alihisi uchovu,kwa yeye pekee akawa yuko macho,akiwa amejilaza chali mara simu yake ikawa inawaka mwanga,alipoisogelea kwa karibu,akaona ni Suzan anampigia,moyo ukamshtuka,,akataka sipokee lakini moyo ukasita kufanya hivyo,akachukua simu na kwenda nayo sebuleni kisha akapokea kwa sauti ya chini,,,
,,,Hallo!,aliongea Nelson kwa sauti ya chini ili asije kusikia Eliet
,,,fungua mlango niko nje hapa,nimekupigia simu muda mrefu,,,,
Sauti hiyo ya Suzan hakuisikia kupitia simu tu,aliisikia kabisa nje ya mlango wake iliyoashiria Suzan yuko nje kwake,,,mapigo ya moyo yalienda mbio,huku ukweli wa moyo wake juu hofu nyingi zilikuwa kwa Suzan,alipofungua mlango alikutana uso kwa uso na Suzan aliyekuwa amevalia gauni lile alilompa la Eliet,alimkaribisha mpaka ndani ambapo Suzan aliingia na kuketi kwenye kochi,,
,,,mmmmh,mimi si mkaaji Nelson,nimekuja kupitia pochi yangu,niliisahau,,,
,,,aaaaah,nilikuhifadhia jamani,hii hapa,,,aliongea hivyo Nelson huku akiendea nyuma ya TV alipoiweka,akaichukua na kumkabidhi
,,,,ahsante,kwaheri,,
,,,,jamani,mbona mapema hivyo!,hata tupige stori mbili tatu jamani,,,,aliongea hivyo Nelson kwa kujiamini utadhani ni kweli alidhamiria
,,,mmmmh,usijali nitakuja siku nyingine,,,
,,,sawa,unakaribishwa muda wowote ule,,,
Baada ya Maongezi hayo Suzan akawa anaongoza kwenye mlango wa kutokea,aliposhika kitasa cha mlango ili akizungushe afungue mlango,,,mara ilisikika sauti ya mlango ukifunguliwa chumbani kule alikomwacha Eliet,,,kwa mahali ambapo alisimama Nelson aliposimama Nelson shingo yake ilipopata kugeuka alimwona Eliet akiwa kama alivyozaliwa huku akitembea kwa hatua za taratibu kuja Sebuleni,akiangalia kwenye mlango ndio Suzan alikuwa anajiandaa kufungua mlango,,,Nelson alibaki akiwa haelewi chochote huku moyoni akiombea Suzan atoke haraka ili Eliet asigundue lolote,,,
Jamani sasa ndio nini baby kuniacha peke yangu,,,,aliongea hivyo Eliet kwa sauti ya kudeka kama mtoto ambapo alipowasili asebuleni hapo alimkumbatia Nelson na kuanguka naye kwenye kochi,,stayari Suzan alishatoka ndani hivyo Eliet alipofika sebuleni hakumkuta,,,
Bwana Gasto Kugishima akiwa ndani ya mgahawa mmoja akipata chakula cha mchana na rafiki yake kipenzi aliyejulikana kwa jina la Luka Zwangendaba,,,ilikuwa ni mapumziko mafupi baada ya kukaa ofisini kuanzia asubuhi,,,marafiki hawa wa muda mrefu walizoeshana kuambiana siri zao za ndani sana kitu kilichowafanya wawe pamoja na kuheshimiana mpaka siku hiyo,,,katikati ya chakula Bwana Gasto Kugishima alianzisha mazungumzo
,,,,aaaah,Luka ndugu yangu,kuna jambo linanitatiza sana kaka?,,,
,,,jambo lipi tena hilo?,,,
,,,kuhusu shemeji yako Eliet,,,
,,,enhee,amefanya nini Shemeji yangu mpole yule,,,
,,,nahisi kuna mchezo ananichezea,,,
,,mchezo upi kaka?,,
,,,ana mwanaume mwingine,sasa kitu nilichokifanya leo,nikamwambia nasafiri kikazi sitarudi,kisha kuna kijana mmoja jirani yetu,nimempa kazi amwangalie kuwa ametoka saa ngapi na amerudi saa ngapi,,,
,,,,mmmmh,mambo haya ili kupata uhakika kaka huwa yanachukua muda mwingi,sasa huyo kijana unawasiliana naye?,,,
,,,,ndiyo nawasiliana naye,na ameniambia kuwa amemwona akiondoka kuanzia majira ya asubuhi mpaka sasa hivi hajarudi,atakuwa ameenda huko kwa huyo mwanaume,,,
,,,,hamna pengine hata kwa marafiki zake,tusimwazie vibaya sana,,,
,,,,hapana ni huko huko kaka kwa wanaume zake,kwasababu nachati naye hapa ananiambia yuko nyumbani wakati kijana niliyemwacha ameenda mpaka nyumbani amekuta kufuri,,,
,,,,mmmmh,sitaki kuamini kama Shemeji ameanza tabia hii,,
,,,,inabidi uamini tu,wanawake ndio walivyo kaka,embu fikiria mwenyewe kipindi kile alivyokuwa anahangaika kwa ajili yangu mpaka muda mwingine kutaka kunywa sumu,au kujinyonga,ina maana alikuwa ananidanganya?,,,
,,,usifike mbali sana rafiki yangu,embu nipe simu yako!,,
Luka Zwangendaba alichukua simu ya rafiki yake na kuitafuta namba ya Eliet kisha akaipiga,,,lakini kabla haijaanza kuita akakata,alichokifanya akatumia simu ya kwake kumpigia,,,alipopokea alimshtukiza kwa kumwambia,,,eeh,shemeji niko hapa nje kwako naona kufuri,,,mmmh,,eeh,,aah,,alibabaika kutoa majibu kamili Eliet ambapo naye alianza kumwekea mashaka,,,kwavile alikuwa ameweka Loud speaker mpaka Gasto alisikia jinsi mpenzi wake alivyokuwa akibabaika kujibu,,,
,,,kwani wewe uko anakwambiaje?,,,
,,,nilikuwa nachati naye tangu asubuhi,lakini nikaona mida Fulani kimya,kila nikimtumia meseji hazifiki,nikaona atakuwa anapika kwasababu aliniambia ndio anaandaa vifaa vy amapishi,,,
,,,mtumie meseji sasa hivi kaka,,,
Basi Gasto alipokuwa akiandika meseji ili amtumie Eliet,ikaingia meseji ya Eliet huku ikiwa ameiandika,,,samahani mpenzi,nilikuwa napika jikoni,lakini sasa hivi chakula kimeiva,karibu tule,,,
usikoseeeee
0 Comments:
Post a Comment